shonkoso JF-Expert Member Joined Mar 13, 2015 Posts 687 Reaction score 1,454 Apr 5, 2021 #1 Habari za majukumu wapendwa, nafikiria kufanya ukarabati wa sofa zangu so ningependa kuuliza kitambaa kizuri na bei zake kwa wajuzi tafadhali
Habari za majukumu wapendwa, nafikiria kufanya ukarabati wa sofa zangu so ningependa kuuliza kitambaa kizuri na bei zake kwa wajuzi tafadhali
Peramiho yetu JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 5,303 Reaction score 14,983 Apr 5, 2021 #2 shonkoso said: Habari za majukumu wapendwa, nafikiria kufanya ukarabati wa sofa zangu so ningependa kuuliza kitambaa kizuri na bei zake kwa wajuzi tafadhali Click to expand... Nam nasubiria hapa mkuu hasa kwenye Bei mafund na wauzaji mkujeee
shonkoso said: Habari za majukumu wapendwa, nafikiria kufanya ukarabati wa sofa zangu so ningependa kuuliza kitambaa kizuri na bei zake kwa wajuzi tafadhali Click to expand... Nam nasubiria hapa mkuu hasa kwenye Bei mafund na wauzaji mkujeee
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,425 Reaction score 5,227 Jul 1, 2021 #3 Mwagika hapa mzee kuhusu cover hizo Jemimah cindy said: Weka cover hutajutia Njoo whatsap au telegram 0713691101 Click to expand...
Mwagika hapa mzee kuhusu cover hizo Jemimah cindy said: Weka cover hutajutia Njoo whatsap au telegram 0713691101 Click to expand...
Jemimah cindy New Member Joined Jul 1, 2021 Posts 0 Reaction score 53 Jul 1, 2021 #4 Kertel said: Mwagika hapa mzee kuhusu cover hizo Click to expand... Pics ziko nyingi nashindwa hapa sababu mi ni mgeni sijajua vizur jins ya kutumia hii jamiiforum
Kertel said: Mwagika hapa mzee kuhusu cover hizo Click to expand... Pics ziko nyingi nashindwa hapa sababu mi ni mgeni sijajua vizur jins ya kutumia hii jamiiforum