Vitambaa vyeusi EPL

Vitambaa vyeusi EPL

kluger

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
2,093
Reaction score
1,899
Nimekuwa nikiona Karibu kila mechi Wachezaji wa Timu za EPL wakivaa vitambaa vyeusi mikononi mwao, je hii ina maana gani? Ufafanuzi please
 
Nimekuwa nikiona Karibu kila mechi Wachezaji wa Timu za EPL wakivaa vitambaa vyeusi mikononi mwao, je hii ina maana gani? Ufafanuzi please
Hii Ina maana kuomboleza tukio lililotokea ya mauaji ya vifo.

Mfano, mlipuko wa Bomu uliotokea Ufaransa, kuanguka kwa ndege iliyowabeba Wachezaji wa Manchester United, nk.
Hivyo wanavaa kama heshima na kuomboleza vifo vilivyotokea.
 
Km week hii walikuwa wakiomboleza mauaji yaliotokea Barcelona yaliyofanywa na magaidi

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Basi vifo ni vingi sana maana haipiti mechi mbili bila vitambaa vyeusi, hata mimi nilikuwa najua ni kuomboleza ila naona imebidi Karibu kila mechi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuwa nikiona Karibu kila mechi Wachezaji wa Timu za EPL wakivaa vitambaa vyeusi mikononi mwao, je hii ina maana gani? Ufafanuzi please
Dah! Ina maana yanayotokea nchi nyingine mbali na England hujui? Aibu sana.
 
Back
Top Bottom