Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
Hahhaha...Kitambi kuna mazingira raha sana.siku moja nilikuwa nimefulia sana ikabidi niende kwa mshikaji wangu mmoja ili anikope maana ye yuko njema kidogo. Wakati ananisindikiza akaja teja mmoja hivi kuomba hela, cha ajabu akampita yule jamaa yangu ambaye anazo akaja kuniomba mimi kwa kuwa nna kitambi changu cha mnazi, yaani ukiwa na kitambi watu wanajua unazo, tena kule usukumani ndio utaowa hata wake 50
Ivi ndani ya kitambi huwa kunakua na nini..gesi au ni nini
Asante mkuu, naanza kesho kuifanyia kazi hiyo ya Juice ya limao.unahitaji namna ya kuondoa au unataka kujua jinsi ya kukabiliana na changamoto!
if yes!
basi namna ya uzikabili changamoto Fanya hivi
ENDAPO UNATAKA KUIONDOA HARAKA
- kama dudu yako unapata tabu kuitizama tumia kioo kujipembua
- viatu vaa ukiwa umebinuka kitandan kama huna make
- chooni weka sink la kukaa kama huna toboa kitako cha ndoo kubwa uwe unaifunika juu ya tundu la choo then unakaaa
- vaa msuli na kanzu kuongeza kipupwe
- game fanya ukaliwe au chuma.....
- Chukua mkopo mkubwa halafu usirejeshe
- Oa mwanamke mwenye makelele
- kunywa glass ya juice ya malimao kutwa Mara tatu
Niemcheka kinoma mbaka kitambi changu kimesinyaaunahitaji namna ya kuondoa au unataka kujua jinsi ya kukabiliana na changamoto!