bush crazy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 767
- 1,083
Naomba kujua, maana jana wamenilazimisha ninunue na biashara nimeanza juzi! niliwambia waje kesho nikinunua! sasa sielewi hivi vitambulisho havina expire date!
karibuni!!
karibuni!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kichwa cha habari kimetofautiana pakubwa na habari yenyewe!Naomba kujua, maana jana wamenilazimisha ninunue na biashara nimeanza juzi! niliwambia waje kesho nikinunua! sasa sielewi hivi vitambulisho havina expire date!
Sorry mkuu WEO ni kipi kirefu chakeMkuu kichwa cha habari kimetofautiana pakubwa na habari yenyewe!
Ninachoelewa kuna uhaba wa vitambulisho hivyo vya wajasiriamali kwa sasa.
Kila uendapo ofisi za WEO wanakwambia vitambulisho vimeisha.
Sasa nisichoelewa katika point yako ni kutokupatikana kw vitambulisho hivyo au tatizo ni kuvinunua vilivyopo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ward Executive Officer.Sorry mkuu WEO ni kipi kirefu chake
Kama wapo separate inabidi kila mtu awe na chake naona ndiyo itakua vizuri.Naomba kujua
Kwa mfano mimi nina biashara ndogo ndogo sehemu tofauti na wauzaji wake
Jee nao wanahitaji vitambulisho?
Au ni kwangu tu coz ni mmiliki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuweni wapole vitakuja tu.Naomba kujua, maana jana wamenilazimisha ninunue na biashara nimeanza juzi! niliwambia waje kesho nikinunua! sasa sielewi hivi vitambulisho havina expire date!
karibuni!!
Ward executive officer(Afisa mtendaji wa Kata)Sorry mkuu WEO ni kipi kirefu chake