Vitambulisho vipya vya mjasiliamali vinatoka lini?

bush crazy

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
767
Reaction score
1,083
Naomba kujua, maana jana wamenilazimisha ninunue na biashara nimeanza juzi! niliwambia waje kesho nikinunua! sasa sielewi hivi vitambulisho havina expire date!

karibuni!!
 
Hivi sio kwamba Kila mwaka vinatoka?,angalia usinunue kitambulisho kimebakiza wiki kuexpire
 
Naomba kujua, maana jana wamenilazimisha ninunue na biashara nimeanza juzi! niliwambia waje kesho nikinunua! sasa sielewi hivi vitambulisho havina expire date!
Mkuu kichwa cha habari kimetofautiana pakubwa na habari yenyewe!

Ninachoelewa kuna uhaba wa vitambulisho hivyo vya wajasiriamali kwa sasa.

Kila uendapo ofisi za WEO wanakwambia vitambulisho vimeisha.

Sasa nisichoelewa katika point yako ni kutokupatikana kw vitambulisho hivyo au tatizo ni kuvinunua vilivyopo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtendaji aliniambia vya awamu ya kwanza vinaexpire mwezi huu.
So kuanzia january, vitatoka vipya
 
Naomba kujua
Kwa mfano mimi nina biashara ndogo ndogo sehemu tofauti na wauzaji wake
Jee nao wanahitaji vitambulisho?
Au ni kwangu tu coz ni mmiliki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetafuta nimechoka, sasa naingia street bila kitambulisho liwalo na liwe.
I can't wait anymore
 
Sorry mkuu WEO ni kipi kirefu chake
 
Naomba kujua, maana jana wamenilazimisha ninunue na biashara nimeanza juzi! niliwambia waje kesho nikinunua! sasa sielewi hivi vitambulisho havina expire date!

karibuni!!
Kuweni wapole vitakuja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…