Vitambulisho vya machinga vyaingiza Tsh. Bilioni 32

Vitambulisho vya machinga vyaingiza Tsh. Bilioni 32

Nimemsiki Grayson Msigwa akidadavua mafanikio ya awamu ya 5. Wamegawa vitambulisho vya machinga 1,600,000 @ sh. 20,000/- Jumla sh. 32,000,000,000/-. Sijui Kama CAG anajua zilipo.
Mjusi kabanwa kwenye mlango. Bado wataropoka sana.
Watuambie hizo fedha zimetumika wapi maana kwenye budget ya seriaka hazikuonekana.
 
Nimemsiki Grayson Msigwa akidadavua mafanikio ya awamu ya 5. Wamegawa vitambulisho vya machinga 1,600,000 @ sh. 20,000/- Jumla sh. 32,000,000,000/-. Sijui Kama CAG anajua zilipo.

..zitakuwa zimeenda kununulia midege.

..na midege yote inatengenezwa ktk nchi za mabeberu.

..yaani tunawakamua vijana wetu kwenda kustawisha ajira ktk viwanda vya mabeberu.

..halafu wanatuambia tuko ktk vita vya kiuchumi na mabeberu.
 
Mjusi kabanwa kwenye mlango. Bado wataropoka sana.
Watuambie hizo fedha zimetumika wapi maana kwenye budget ya seriaka hazikuonekana.
Huyu Lissu ndiyo maana waliamua kumpiga risasi. Mtu kaja juzi tu,

1. Wakulima wa pamba wametangaziwa kulipwa baada ya Lissu kupita kanda ya ziwa na kuahidi akipewa dhamana wakulima watalipwa madeni yao na hawatakopwa tena.

2. Ajira elfu 13 zimetangazwa ghafla baada ya Lissu kusema serikali yake itaimarisha uchumi utakao zalisha ajira za kutosha kwa kushirikisha sekta binafsi.

3. Mchana huu nimeona wakulima wa miwa Morogoro nao wameahidiwa kulipwa madeni yao.

4. Fedha za vitambulisho vya wajasiriamali zimetangazwa jumla yake bado hatujaambiwa matumizi.

5. Nimeona na ccm imeanza kuzungumzia bima ya afya kwa watz wote baada ya Lissu kuinadi hiyo sera kupitia ilani ya Chadema

My take:
Kabla ya uchaguzi, watumishi kaeni mkao wa kula, wastaafu wanaozungushwa, kikokotoo kwa wastaafu, fao la kujitoa nk.

Why not vote for Lissu?
 
Simchagui mtu anayetisha watu

IMG-20200906-WA0023.jpg
 
Hivi msigwa ndio mkurugenzi wa TRA?

TRA hawakuwa na mamlaka na hizo fedha za vitambulisho. Hizo fedha zilikuwa chini ya ofisi ya rais (Ilikuwa biashara haramu ya ikulu), na msigwa ndiye msemaji wake.
 
Nimemsiki Grayson Msigwa akidadavua mafanikio ya awamu ya 5. Wamegawa vitambulisho vya machinga 1,600,000 @ sh. 20,000/- Jumla sh. 32,000,000,000/-. Sijui Kama CAG anajua zilipo.
CAG yupi huyu au yule
 
hizo ndio wasanii wanazitwanga tu sifa kidogo kwa Magu mihela kibao
 
..zitakuwa zimeenda kununulia midege.

..na midege yote inatengenezwa ktk nchi za mabeberu.

..yaani tunawakamua vijana wetu kwenda kustawisha ajira ktk viwanda vya mabeberu.

..halafu wanatuambia tuko ktk vita vya kiuchumi na mabeberu.
Kuna dhambi gani kuwa na ndege? Mnataka tutembelee punda kama wote wajuba vile?
 
Kuna dhambi gani kuwa na ndege? Mnataka tutembelee punda kama wote wajuba vile?

..Ndege ni mradi wa hasara.

..siyo busara nchi masikini kama yetu kutumia trillions of shillings kununua ndege.

..na baada ya kununua ndege kwa cash, bado tunatoa ruzuku kwa shirika la ndege kwasababu haliwezi kujiendesha.

..hayo matrilioni yangeelekezwa kwenye miradi inayogusa wananchi wengi zaidi, na isiyohitaji kuendeshwa kwa ruzuku.
 
Nimemsiki Grayson Msigwa akidadavua mafanikio ya awamu ya 5. Wamegawa vitambulisho vya machinga 1,600,000 @ sh. 20,000/- Jumla sh. 32,000,000,000/-. Sijui Kama CAG anajua zilipo.
Vipi Zina control number,au zinaenda Jenga hotel
 
Back
Top Bottom