Kuna vitu Magufuli akiondoka ataondoka navyo, haviwekei misingi ya kuwa sehemu ya mfumo wa uendeshaji shughuli.
Haiwezekani kitambulisho kiishe muda wake tangu Desemba 2019 hadi leo April 2020 hakuna kinachoendelea, waziri wa viwanda na biashara yupo, waziri wa tamisemi yupo, makatibu wakuu wapo na wote hawatupi way forward.