View attachment 3197405
Kama mtanzania naandika hili machozi yakimwagika. Naumia kwa namna pesa nyingi za watanzania zilivyoteketea kwa kisingizio cha vitambulisho.
Kipindi cha Kikwete pesa zililiwa hadharani. Kipindi cha Magufuli Simba Chawane akasema inakuja mashine kubwa na tatizo litaisha.
Yawezekana limeisha kwa kuweka pesa mfukoni kwani nimepata kitambulisho changu juzi. Maskini wangu wino unafutika. Hivyo havina ubora. Je, nani anahujumu serikali.
Utaratibu wa kutoa umekuwa mbovu, baada ya kulundika vitambulisho basi wameamua kutoa vitambulisho ambavyo vimeenda kujazwa kwenye vijiji na vituo mbalimbali huku kila mtanzania akihaha kupata. Je, kama taifa tumefanikiwa nini?
Jamani hata kutoa vitambulisho vya NIDA tu😭
Sasa hivi hata ukipeleka ombi la kupata kitambulisho au kurekebisha walioachwa kwenye vituo vanataka pesa koz hakuna usimamizi unaoeleweka.
Mheshimiwa Rais naomba utoe tamko na kama kuna uzembe basi watu wawajibike kama nchi nyingine tuache tabia ya kulindana hatutafika.
Kama wizara zipi hizo? Zitaje na ueleze wazi wazi kabisa kuhusu ufanisi wao katika utendaji wa kazi zao.Nadhani Kuna watu wachache walipewa dhamana ndo wanashindwa zitumikia mbona Kuna baadhi ya wizara Zina uangalau kwenye utendaji kazi wake
Kuna mfanyakazi mmoja wa TANESCO ambaye ana passport ya TZ na Rwanda, ana vitambulisho vitatu vya NIDA vyenye majina tofauti.Ukienda mipakani raia wengi wamevimiliki wa nchi jirani
Ukienda Burundi wamejaa wanavyo vya kutosha Tena wanakuja kuchukua na vya kupigia kura hii iwafikie serikali sisi raia wema tunatoa taarifa
Mimi kwetu ni kigoma, kwa hili nakubaliana na wewe warundi wanavyo wengiUkienda mipakani raia wengi wamevimiliki wa nchi jirani
Ukienda Burundi wamejaa wanavyo vya kutosha Tena wanakuja kuchukua na vya kupigia kura hii iwafikie serikali sisi raia wema tunatoa taarifa
Oya fanya mambo mengine hapo hakuna utachosaidiwaMheshimiwa Rais naomba utoe tamko na kama kuna uzembe basi watu wawajibike kama nchi nyingine tuache tabia ya kulindana hatutafika.
Wewe hakuna utakachosaidiwa fanya mambo mengine hii inaelekea kua Shamba la BibiUkienda mipakani raia wengi wamevimiliki wa nchi jirani
Ukienda Burundi wamejaa wanavyo vya kutosha Tena wanakuja kuchukua na vya kupigia kura hii iwafikie serikali sisi raia wema tunatoa taarifa