Vitambulisho vya NIDA vipo stoo. Vingine ni feki vinafutika. Nani alaumiwe?

Hiki kitambulisho muhimu sana kama hauna polee sana nilianza kukipata 2015
 
Wizara ya Kilimo
Wizara ya Kilimo ya Tanzania kuna ufanisi gani? Hovyo kabisa.

Mwl.Nyerere chini ya Wizara hii aliwahi kuanzisha mradi wa Kilimo cha Kufa na Kupona, matokeo yake ni kwamba Kilimo chenyewe kilikufa lakini wakulima wote walipona. Na mpaka leo hii kilimo hicho hakijawahi kufufuka.
 
Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…