Pistol
Senior Member
- Oct 13, 2015
- 194
- 86
Raia wa Uganda waliosajiliwa vitambulisho vya Taifa, na hawajivichukua bado, vinaweza kupelekwa Mahakamani na kutozwa faini.
Onyo hilo limetoka kwa viongozi wa Mradi huo wa vitambulisho vya taifa baada ya kadi Zaidi ya Milioni kubaki bila kuchukuliwa na wahusika katika Makao Makuu ya wilaya zote Nchini.
Maafisa wa Mradi huo,ambao upo chini ya Wizara ya mambo ya ndani, wametoa kauli ya mwisho kufikia Februari 2016 iwe mwisho kwa wamiliki kuchukua kadi zao.