Ndengaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 7,831 Reaction score 14,259 Feb 23, 2019 #1 Nitangulize shukrani.. Hivi vitambulisho kwa mkoa wa Mwanza vinapatikana wapi na kwa utaratibu gani ? Sent using Jamii Forums mobile app
Nitangulize shukrani.. Hivi vitambulisho kwa mkoa wa Mwanza vinapatikana wapi na kwa utaratibu gani ? Sent using Jamii Forums mobile app
R Ricecooker JF-Expert Member Joined Aug 9, 2017 Posts 500 Reaction score 904 Feb 23, 2019 #2 Nenda kwa afisa Mtendaji wa Kata/mtaa utapewa utaratibu.