sarcomere1 JF-Expert Member Joined Dec 11, 2018 Posts 304 Reaction score 579 May 14, 2019 #1 Wakuu naomba kuelekezwa namna ya kupata kitambulisho cha ujasiriamali vya rais Dr Magufuli Nini kinahitajika hadi ukipate, sehem vinapopatikana kama ni halmashauri au ofisi za TRA naomba kujuzwa
Wakuu naomba kuelekezwa namna ya kupata kitambulisho cha ujasiriamali vya rais Dr Magufuli Nini kinahitajika hadi ukipate, sehem vinapopatikana kama ni halmashauri au ofisi za TRA naomba kujuzwa