Mbona vitambulisho hivyo vinafanikiwa
Ila vya NIDA vina feli????
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi vitambulisho watu walikuwa wanalipia 20,000/=, na uongozi wa mikoa, wilaya kata na vijiji waliamriwa waakikishe vitambulisho walivyopewa vinaisha. Hii ilikuwa ni biashara moja nzuri kwa waliobuni na ilikuwa ni kwa manufaa yao, maana wakiulizwa hizo fedha zilizopatikana zilifanya nini, majibu yatakuwa yana ukakasi tu. Vya NIDA havilipiwi, na ndiyo maana wanashindwa kuviwekea mkazo, japo kuna mbinu waliyokuwa wananaitumia kupitia mitandao ya simu ili kukusanya fedha
Basi vya taifa wafanye hivyo
Maana mambo ya bure naona washashindwa
Bora wavitowe kwa fedha tu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona vitambulisho hivyo vinafanikiwa
Ila vya NIDA vina feli????
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mfanyakazi ataongezewa mshahara kisa uchaguzi, hakuna unafuu wowote wa maisha utatokea hata kwa machinga kisa uchaguzi...serikali ya kijani haitahitaji ridhaa ya watanzania kuamua ibaki madarakani bali Tume ya uchaguzi na polis watafanya kazi hiyo. Nadhani Mungu atupe moyo wa uvimilivu taifa hili linapitia kugumu sana kuliko nyakati zote ambazo nimekuwepo hapa TZ.Vitahuishwa kwa mara ya mwisho na baada ya uchaguzi vitafikia mwisho wa matumizi na jamaa watafurushwa mitaani. Sawa na itakavokuwa kwa wafanyakazi kuongezewa mshahara wa mwaka 2020/21 na baada ya hapo watarudi mwanzo.
Hata korosho na mazao mengine vitauzwa kwa bei ya juu. Na baada ya uchaguzi watatupwa.