Michael Chairman JF-Expert Member Joined Apr 11, 2015 Posts 922 Reaction score 586 Apr 15, 2015 #1 Vipi kuhusu hili chafya za mpishi huongeza vitamini kwenye makuri /msosi?
Tamalisa JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 2,542 Reaction score 905 Apr 16, 2015 #2 Kwani wewe huwa unalishwa hizo vitamins na nani? kama ni kwenu na unaona zinakupa afya, basi ni vyema ukawaambia ili waweke nyingi zaidi. Wengine zinawaletea maradhi.
Kwani wewe huwa unalishwa hizo vitamins na nani? kama ni kwenu na unaona zinakupa afya, basi ni vyema ukawaambia ili waweke nyingi zaidi. Wengine zinawaletea maradhi.