Habari zenu. Mimi na mume wangu tunauza vitanda 4 vya futi 3 kwa futi 6 viko 4 maeneo ya kibaha kulikuwa na mradi wa ufugaji ngombe Sasa mradi haupo Tena. Vitanda vilitumika kwa wafanyakazi kulalia.
Kila kimoja sh 30,000 na vimetengenezwa kwa mbao ya mkongo. Mgumu sana.