Msafiri007
Senior Member
- Jan 26, 2016
- 149
- 81
Hasa hasa mbelikwe guest house na mama mage guest house yani hapana kwakweli
Bora umbwe na keko guest house vipo vya chuma
maeneo ya kwa steven pale hakika ile ni burudani.. Ndio kiwanja cha nyumbani kileNimecheka Sana kwa maana nilikutana Na moja maeneo ya kigambon Kama unaenda kisiwan upande WA kushoto.
No kelele no kwere kukuruka mwanangu,
Tanzania Kuna zaid ya maajabu,
ha ha haaaaaaa........
Nadhani ni njia rahisi ya kubana matumizi. hata mimi nimeshawahi kulala gesti yenye kitanda cha zege hapo Dar! ile gesti nilitokea kuichukia sana na niliapa kutokwenda kulala pale tena. Sikuvutiwa na aina ile ya kitanda kwa kweli.
Kweli kabisa mkuu hizi zinaa hizi siyo nzuri kabisaMtalala makaburini mkizani kitanda cha zege
maeneo ya kwa steven pale hakika ile ni burudani.. Ndio kiwanja cha nyumbani kile
Huko kote umeshawahi kulala?huyo aliyekupeleka alikudharau uje?wewe ni wa giraffe hotelHasa hasa mbelikwe guest house na mama mage guest house yani hapana kwakweli
Bora umbwe na keko guest house vipo vya chuma
Nimeandika nimelala?Huko kote umeshawahi kulala?huyo aliyekupeleka alikudharau uje?wewe ni wa giraffe hotel
sikuruu gani,,fafanuapale ni tatizo sikuruu zinakuwa zimelegea
kwani we hujui niache banasikuruu gani,,fafanua
Kumbe unaishi guest house, mwee😀😀Hasa hasa mbelikwe guest house na mama mage guest house yani hapana kwakweli
Bora umbwe na keko guest house vipo vya chuma
habarini wadau, hivi ni kwa nini baadhi ya gesti huwa zina vitanda vya zege..
Nahitaji kufungua gesti na mimi naomba unipeleke katika mojawapo ya ulizozitaji nikaige mbinu hiyo.Hasa hasa mbelikwe guest house na mama mage guest house yani hapana kwakweli
Bora umbwe na keko guest house vipo vya chuma
jamaaa umefika hadi mbelikweHasa hasa mbelikwe guest house na mama mage guest house yani hapana kwakweli
Bora umbwe na keko guest house vipo vya chuma