MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
-
- #41
Well,
tatizo la watu wa aina hii ni kupenda kufanya vitu ili waonwe na watu na kupata attention...vitu vya hivi huwa havitoki moyoni bali ile urge ya kutaka KUONEKANA....
kama tujuavyo ndoa zinazodumu huwa hazipatani na excessive use ya mambo kama haya, ikiwemo kupenda mambo ya mali zaidi na kujikweza pasipo na mapenzi ya kweli moyoni
hivi vitu vitamsaidia kama tu atakuwa na uelewa wa hali ya juu, mapenzi ya kweli, heshima na adabu...kwa MUMEWE (bila kujali, mumewe ni NANI na ana NINI)
kwa uzoefu wangu , ndoa za mambo hayo huwa hazina maisha marefu, (ceteris paribus)

DUH! yaani carmel sikukushtukia unajua? wapi kale ka avatar kanakoongeza blood presha? mambo niaje?aah binamu, kama kawa naona unatoa somo, very true, very true.
Napata tabu kuwapa kadi ya mchango wa kparty ya binti yangu huyu hahahaah:whip:
MJ1 ataiweka kapuni
BHT hii itakaa kwenye meza ofisini kila siku inapigwa danadana
Carmel sijui...
Kina kaka sijui watanichangia :confused3:
Nimeipenda hii picha toto mguu mguu na kijikuku cha kiushkaji
mmh mfukunyuzi na wewe kikuku hakuna hapo ni kamba ya kiatu
Eti nimesoma kuwa huo mguu unatakiwa 'ukatiwa insurance'.........kazi ipo...hapo kuna mguu wa kustahili insurance ama mi macho yangu hayaoni siku hizi?
Roho ya Mwenye kufungaNimeipenda hii picha toto mguu mguu na kijikuku cha kiushkaji
Hivi mwanamme kamili unaweza kuogopa mwanamke sababu ya vitu? vitu? Ndoa siku hizi inapimwa kwa vitu?