Vitenge vya bei ya jumla na rejareja

Vitenge vya bei ya jumla na rejareja

edward-kabelege

New Member
Joined
Jan 3, 2024
Posts
2
Reaction score
0
Jipatie vitenge kwa shilingi elfu 10 vya kushona na 25 kuvaa bei ya jumla maelewano kwa namba 0763358287 tupo Mbeya karibuni wana JF family
 
Unapoamua kuingia kwenye ulimwengu wa biashara, zipo changamoto kadhaa ambazo lazima
utakutana nazo katika harakati za utafutaji. Changamoto kubwa zaidi ni kujua wapi pa kupata bidhaa kwa bei ya jumla ili uweze kuuza kwa jumla na rejareja.

Najua, ndugu msomaji wa kitabu
hiki, pengine hata wewe umekuwa ukipitia hali kama hiyo. Wakati mwingine, umeamua kununua
bidhaa kwenye maduka ya rejareja, lakini ukweli ni kwamba bei zake zinaweza kuwaumiza wateja wako.

Kwa kutambua hilo Bright and Genius Editors, tumekuandalia suluhisho la changamoto hiyo. Dhumuni kuu la kitabu hiki ni kutatua changamoto zako kwa kuorodhesha machimbo yote ya bidhaa za kufanyia biashara yanayopatikana hapa Tanzania, hususan katika masoko ya Kariakoo, pamoja na namba za simu za wauzaji na mitaa zinakopatikana.

Kitabu hiki kimegawanywa katika sura 68, kila moja ikitoa mwongozo wa kina kuhusu mahitaji tofauti ya biashara. Sura hizi zinajumuisha machimbo ya bidhaa mbalimbali kama nguo za watoto, vifaa vya ofisini, vifaa vya ujenzi, na dawa.

Pia, kuna sura maalum zinazojumuisha vifaa vya michezo, vipodozi, nguo rasmi za ofisini, na bidhaa za biashara za kila siku.

Kwa wapenzi wa bidhaa za nyumbani, kuna machimbo ya vyombo vya jikoni, mapazia, maua ya mapambo, na vifaa vya kufungashia.

Aidha, sura za bidhaa kutoka kwa maduka ya wachina moja
kwa moja zimejumuishwa kwa wale wanaopendelea kununua bidhaa hizo kwa urahisi.

Kwa uchache ngoja tuchimbe kwa undani kile ambacho kipo kwenye kila sura.

Sura ya 1 hadi 5: Machimbo ya nguo za watoto, vifaa vya ofisini (stationery), vifaa vya ujenzi (hardware), dawa (pharmacy), na vinywaji.

Sura ya 6 hadi 10: Kahawa, maremba, vifaa vya mazoezi, miwani, na nywele bandia kama rasta na wigs.

Sura ya 11 hadi 20: Shati za shifoni, viatu, kofia, gauni za usiku, vitambaa vya masofa, hereni na cheni, vyombo vya jikoni, na vifaa vya michezo.

Sura ya 21 hadi 30: Pajamas, balo za mitumba, masweta, maturubai, pipi, jeans, jezi, na vifaa vya kufungashia.

Sura ya 31 hadi 40: Toys, T-shirts, diaper, bidhaa za supermarket, manukato, madera, mitandio, abaya, hijabu, na vitenge.

Sura ya 41 hadi 50: Khanga, vitambaa vya kushona, vipodozi, nguo za watoto, pochi, vifaa vya simu, mikeka, bidhaa za wachina, na sufuria sets.

Sura ya 51 hadi 60: Chupa za maji, midoli, lubricants za magari, maduvets, mashuka, mapazia, majora ya mapazia, T-shirts zinazotrend, na bidhaa za ubuyu wa Zanzibar.

Sura ya 61 hadi 68: Maua artificial, pipi, vifaa vya masofa, bidhaa za mitumba, vifaa vya kuandaa keki, na bidhaa kutoka kwa wachina moja kwa moja.

IMG-20241129-WA0000.jpg


Ili kujipatia kitabu hiki wasiliana nasi kwa WhatsApp No: 0612607426
Au tupigie: 0687746471

Hivyo ndugu msomaji wa makala hii kwa kila sura, tumetoa maelezo ya maeneo unayoweza kupata bidhaa hizo, pamoja na namba za simu za wauzaji waaminifu.

Kitabu hiki kimekusudiwa kuwa nyenzo yako ya msingi ya kuhakikisha unapata bidhaa bora kwa bei nafuu ili kufanikisha biashara yako.

Tunakuhakikishia kuwa mwongozo huu utakuwa msaada mkubwa katika safari yako ya biashara.

Kila raheli
 
Back
Top Bottom