St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
weka bei mkuu, bei yake dukani ni elfu60 mpaka 70, na wewe yako inasimamia ngapi?
ekzaktli ndio maana nimemwambia atuwekee bei zake ni zipi, na ikiwa vizuri akaweka bei yake kwa jumla ni ngapi na kama mtu akitaka viwili vitatu yani kwa rejareja bei ni ngapi,Ni bei ya rejareja Jumla itakuwa tofauti.
ekzaktli ndio maana nimemwambia atuwekee bei zake ni zipi, na ikiwa vizuri akaweka bei yake kwa jumla ni ngapi na kama mtu akitaka viwili vitatu yani kwa rejareja bei ni ngapi,
kyanaKyoMuhaya avatar yako inasisimuaπ