Viti, aina za mito na foronya za nje ya nyumba au kwenye bustani

Viti, aina za mito na foronya za nje ya nyumba au kwenye bustani

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Aina za Mitoo na Foronya Ya Njee Ya Nyumba!
Mitoo ya njee haina utofauti na ile itumikayo ndani ya nyumba kwa matumizi tofauti; Kwa mfano, matumizi ya chumbani kwa kulalia, sebuleni kwa kuegemia au kukaliaa kwa mitoo mikubwaa, au Dinning pia kwa kukalia au kuegamia... au kutumia mito kama mapambo.. ya kuongezea nakshi au uzuri wa chumba kwenye nyumba.

Kwa hiyo basi, tubapochagua mito ya njee... inabidi foronya zake ziwe Colourful... yani zenye rangi za muwakoo.... ili kuweka motisha na mvutoo zaidi...ukichanganya na mwanga wa jua...na mazingira yako... Hata ukitumia Rangi zilizotulia... hakuna shida... ujue tuu jinsii ya kupangilia na kuuitikia mwito wa mazingira yako ya njee jinsi yalivyo.... Mifano michachee ni hii hapa;

Viti vya Njee ya Nyumba au kwenye Bustani:
Zifuatazo ni aina tofauti ya viti vya njee ya nyumba, kwenye corido au kibarazani...au kwenye majani. Viti vya namnaa hii... huleta mvutoo sana na kupendezesha nyumba. Vinaweza kuwa vya Mbao, Mkeka, Chuma, Plastiki etc etc Haya, chekini.. mpate ma ai diaz..

2700-m1.jpg



s3056-m.jpg

4068-m.jpg

corona-t-m.jpg



ht18bl-m.jpg
m-patio-set-228.jpg
 
Back
Top Bottom