Hawana kazi. Bunge lijalo litaongoza kwa wabunge wake kupata mimba Dodoma. CCM, baada ya kuiba kura na kuwapata wabunge mapoyoyo wasio na uwezo wa kusoma miswaada na kujenga hoja, sasa inafuata aibu ya mimba. Idle brain is the devil's workshop (ubongo usiyotumika ni karakana ya shetani).Wasindikizaji wanaonekana, na wenye viti vyao wapo.
Hawa nafikiri, kazi yao kubwa ni praise & worship, pia kupendezesha viunga vya bunge.
Everyday is Saturday............................... 😎
Na kesho utamsikia akisema nina uchungu saaaaana na wananchi wanyonge.Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Hizi kodi zingeajiri mamilioni ya wahitimu.
Sijui kama huwa wana akili timamu hawa na huyo baba yao wa chato.Na kesho utamsikia akisema nina uchungu saaaaana na wananchi wanyonge.
Mniombeeeeeeeeeeee.
Wengi kweli, mzigo mzito bado wa CHADEMA nao kuongeza mzigo.Jaman hawa watu ni wengi
Hii ni hasara hapa ni sawa na shule mpya kama hamsini
Au ajira za walimu wa primary hata 30000
Tuone Kama CHADEMA hawatafanya huu upuuzi, wasipofanya tutajua huu ni upuuzi.Katiba ya warioba ilikataa huu upuuzi wkaitupilia mbali!
Namba 61Hii ni orodha ya wake za wakubwa,ya wake wa wenye fedha ,watoto wa wakubwa na ya awake wenye sura,wamebatizwa na kuitwa wabunge wa viti maalum.
Mkuu mbona kama kuna kitu unataka kumsingizia Gwajiboy ?Hawana kazi. Bunge lijalo litaongoza kwa wabunge wake kupata mimba Dodoma. CCM, baada ya kuiba kura na kuwapata wabunge mapoyoyo wasio na uwezo wa kusoma miswaada na kujenga hoja, sasa inafuata aibu ya mimba. Idle brain is the devil's workshop (ubongo usiyotumika ni karakana ya shetani).
Je, wale waliogawia wake zao kina Mbowe, Msigwa, Lema, Lissu? Sugu, Mnyika.Jamani hawa watu ni wengi
Hii ni hasara hapa ni sawa na shule mpya kama hamsini
Au ajira za walimu wa primary hata 30000
Na wale waliogawa viti maalumu kwa wake zaoNa kesho utamsikia akisema nina uchungu saaaaana na wananchi wanyonge.
Mniombeeeeeeeeeeee.
Vidosho wa wakubwa wakiwa bungeniWana faida gani hawa wote kuwepo bungeni au ni ulaji tu.
Niliwahi kushauri, viti maalumu iwe mwisho vipindi viwili, hao watatu sasa wanakwenda kipindi cha 3 au cha 4, na bungeni huwa hawachangii kitu!.: Wabunge wa Viti Maalum
2. Munde Tambwe Abdallah
6. Dkt. Christine Gabriel Ishengoma
17. Lucy Thomas Mayenga