one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,330
Hapa tatizo wenye kuweza kuuondoa hawataki kuutoaTuone Kama Chadema hawatafanya huu upuuzi, wasipofanya tutajua huu ni upuuzi.
Kila mkoa lazima ulete mtu ikiwa mna idadi ya kutosha, kwa mfano CCM ina 94 kwahiyo kila mkoa unatoa wawili, halafu wanachukua kutoka makundi maalum mfano walemavu, vyuo vikuu aliyoingia nayo asha rose migiroKabula ndani ya nyumbaaaaa! no. 61 hapo. Hongera mama!
Swali la ufahamu: Hivi viti maalum wanachagua kutoka mikoa yote au siyo lazima?
Hilo ni group la Praise and worship nothing NewJaman hawa watu ni wengi
Hii ni hasara hapa ni sawa na shule mpya kama hamsini
Au ajira za walimu wa primary hata 30000
Demokrasia ina gharama zakeJaman hawa watu ni wengi
Hii ni hasara hapa ni sawa na shule mpya kama hamsini
Au ajira za walimu wa primary hata 30000
Wewe ni mjinga nyie sindio mmepitisha hayo masheria yakipuuzi?Tuone Kama CHADEMA hawatafanya huu upuuzi, wasipofanya tutajua huu ni upuuzi.
Halima alizaa na Zitto ndio wamemmaind, mwenzie Dito karudiMbona Halima Bulembo (binti) hayupo ?
Ila hapo kwa Ritha kabati na pindi chana duh hawa wange waachia vijana.
Hivi huyu si ndo anawakilisha vyuo vikuu ?nimepitia kwa haraka nimeona jina la cate magige
huyu dada yeye ni viti maalum tu ameshakua na yeye kingunge kwa upande huo
Kwa mishahara wanayolipwa jumlisha na posho.Jaman hawa watu ni wengi
Hii ni hasara hapa ni sawa na shule mpya kama hamsini
Au ajira za walimu wa primary hata 30000
Tuone Kama Chadema hawatafanya huu upuuzi, wasipofanya tutajua huu ni upuuzi.
sijajuaHivi huyu si ndo anawakilisha vyuo vikuu ?
Ah ndugu, Halima alizaa na Zitto ? Acha hizo story bana lakini dogo kaukata maana ukwasi utakuwepoHalima alizaa na zitto ndio wamemmaind, mwenzie dito karudi