Viti Maalum, CCM - Orodha ya watu 94

Chama kinatengeneza mazingira ya kufaidi keki ya nchi
 
Chapeni kazi, lipeni kodi, watu wale na familia zao.


Kila mtu achape kazi ale kwa jasho lake. Wacha niendelee kutafuta impurity ili watoto wapate kwenda msalani.
 
Nilishawahi kusikia kwamba inawezekana Rais akachagua mwanaume viti maalum, hebu nijuze zaidi kuhusu hili
Rais hachagui wabunge wa viti maalumu. Rais ana nafasi ya wabunge 10 wanaitwa wabunge wa kuteuliwa na rais. Hao wabunge hapangiwi wawe wa jinsia gani, ila yeye kajiwekea kwamba 5 wawe ni wanaume na 5 wengine wawe wanawake. Na siyo lazima amalize kuzitumia hizo nafasi 10, Marais wengine hawakua wanazimaliza hizo nafasi. Hawa wabunge 10 wa rais hawako katika utaratibu wa viti maalumu. Viti maalumu ni kwa wanawake tu...........
 
94 × 12
Ondoa posho
 
Mshahara kwa mwezi 94 X 12,000,000 = 1,128,000,000 X 12(mwaka)= 13,536,000,000 X 5(miaka mitano)= 67,680,000,000 + pension (240,000,000 x 94 = 22,560,000,000) = 90,240,000,000 ongesa hela ya gari (94x120,000,000 = 11,280,000,000) jumla kuu 101,520,000,000 hapa ni nje na perdiem, mikopo hazina, posho ya kikao na safari za nje, alafu pumbafu moja linasema mji ajiri.

 
Naona Jina la Kabula lime trend kweli yote ni nini.

Kabula ni mwanamke wa aina yake. Jasiri na mpambanaji alianzia biashara kariakoo ya nguo na viatu mpaka kumiliki nyumba 2 za ghorofa Regent estate mpaka kumiliki hoteli sio Akili ndogo hizi kwa Maisha na hulka zetu za kiswahili.

Anastahili kabisa kubwa mbunge na ataenda kuja kugombea jimboni miaka 10 ijayo . She is a daring character.
 
Na kwavile walitaka haki sawa na wanaume wangefuta huu upuuzi wa viti maalumu ili Wote wapambane majukwaani atakaeshinda battle anaingia mjengoni atakaeshindwa anafanya mambo Mengine.
 
Duh kna mmoja hapo namjua vzr ni mama wa mjini kweli....wiki kama 3 zilizopita alinitwanga bia za kutosha hpo 777 akaniambia anategemea kuwa mbunge lzima ale ndz nyama duh kweli nmeona Jina lake[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Dah hapo umenifumbua kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…