Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Wapendwa Leo nimeona niwaombe radhi kwa nitakaowaudhi. Kama kuna kitu kinanisikitisha kwenye SIASA zetu ni kutokuwa na UKOMO VITI MAALUM
Hiki kiti kumekuwa kama mwenye nacho apewe maana kuna AMBAO wako kule milele kama wamezaliwa na bunge
KUNA AMBAO wamestaafu lakini ukiambiwa alikuwa mbunge miaka 20 unaweza hisi alikuwa na Jimbo kumbe vitimaalum
Aliulizwa mzee Mbowe kule Moshi kuna ukoo MMOJA una WABUNGE watatu
Akaulizwa Hawa watu wako bungeni zaidi ya miaka 20. Sasa wewe huoni mnahitaji kufanya mabadiliko ya katiba ikiwemo KUWEPO na kikomo cha VITI MAALUM
ANyway
N USHAURI tu ikiwezekana miaka 5 inatosha Wapenii wengine wale wakagombee kwenye jimbooooo
Mlifanya hivi wakiwa bungeni watajitahidi kueatendea vyema wananchi ili wakachaguliweeew
Haya mambo ya kueekana bungeni miaka 10-15-20-25
TUSEME imetosha
Chama changu CCM
Na wapinzani TUNAOMBA haya mambo yabafilike TUSEME yametosha
Kuna ambao hawana MPANGO HATA WA kugombea wanawaza watawateka wangapi ili akachaguliwe Tena
Akijua ikifika mitano anaondoka NAKWAMBIA wallahi Hawa watu watapambana kusaidia jamii hamtakaa muamini wakitegemea kuchaguliwa kwenye jimboo
Hivi vyeo tufike WAKATI VIWE vya kutengeneza WABUNGE WA jimboo watarajiwa na visiwe vyeo vya kupeana ama kulindana ana kuwa vyeo vya milele
Kila la kheri mtakaochaguliwa MJIPANGE kugombea ondoeni akili ya kupambana urudi tena