Viti Maalum vya Ubunge vyaigawa CHADEMA. Washindwa fikia muafaka kususia Bunge

Mmeanza kubadili gia angani! Hata hivyo, ushauri ni mzuri kwao!
 
Ushauri wa bure kwa Chadema,
1. Wasisusie
2. Wanawake wote walikuwa wabunge Bunge lililopita na wakagombea majimbo uchaguzi huu, ndio wapewe kipaumbele cha kwanza
hivyo tutawaona
1.Mdee
2. Bulaya
3. Matiko
4.Wasira
5.Peneza...
P
 
Kunawaowaza huenda wanhekua mademu, wangenufaika na hizo nafasi wakarudi mjengonii.
 
Viti 12 hadi 18 kwa asilimia ngapi ya kura walizopata?
 
Acha umbea utaolewa mtoto wa kiume
 
Unahisi hivyo au kuna ukweli???
 
Mbona nitashidwa kuwaelewa chadema kama watakubali kupeleka wabunge wa viti maalum hii ni kama kuharalisha kwamba uchaguzi ulikuwa wa uhuru na haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…