Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Viti Maalumu vimekua ni nafasi za wachache kujimilikisha Mali tu.
Hata kama ni Mtaji wa Biashara, miaka mitano haitoshi??
Vijana wako mtaani ,Moja haikai Wala Mbili !!.
Hata wa Makundi maalumu pia, Mbunge Keisha Kawa Mbunge zaidi ya miaka 10 , sijawah Msikia anachangia,,, ni kweli hamna Wanawake wengine wasomi, wenye ulemavu wa Ngozi ambao hawastahili hiyo nafasi zaidi ya Keisha miaka yote?
Viti Maalumu vimejaa watoto wa Viongozi na waliowahi kua viongozi.
CCM ni Jipu hamna namna unaweza kuelezea !.
Naungana na Lissu , viti maalumu viwe na ukomo