Acha Maneno
Member
- Oct 6, 2018
- 36
- 46
Habari zenu ndugu zangu,
Nauza viti vilivyotengenezwa kwa Chuma na mbao.
VISHAUZWA
Nauza viti vilivyotengenezwa kwa Chuma na mbao.
VISHAUZWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio, nicheki kwenye hiyo namba kama unahitaji.Viko freshi
Waswahili wengi ni hopeless, tangazo la biashara hawaoni shida kutumia lugha za hovyo hovyoKitonga ni nini?
Pita kimya kama umekereka. Wengine tunazielewa hizo lughaWaswahili wengi ni hopeless, tangazo la biashara hawaoni shida kutumia lugha za hovyo hovyo
Kunywea mbege.Matumizi yake mahususi ni nini?