A Acha Maneno Member Joined Oct 6, 2018 Posts 36 Reaction score 46 May 22, 2024 #1 Habari zenu ndugu zangu, Nauza viti vilivyotengenezwa kwa Chuma na mbao. VISHAUZWA
Makorokoro Bondeni JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 1,300 Reaction score 1,969 May 22, 2024 #2 Viko freshi
A Acha Maneno Member Joined Oct 6, 2018 Posts 36 Reaction score 46 May 22, 2024 Thread starter #3 Makorokoro Bondeni said: Viko freshi Click to expand... Ndio, nicheki kwenye hiyo namba kama unahitaji.
Makorokoro Bondeni said: Viko freshi Click to expand... Ndio, nicheki kwenye hiyo namba kama unahitaji.
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,384 May 22, 2024 #4 Kitonga ni nini?
D DIRIMULAINA JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 921 Reaction score 1,720 May 22, 2024 #5 Jerrymsigwa said: Kitonga ni nini? Click to expand... Waswahili wengi ni hopeless, tangazo la biashara hawaoni shida kutumia lugha za hovyo hovyo
Jerrymsigwa said: Kitonga ni nini? Click to expand... Waswahili wengi ni hopeless, tangazo la biashara hawaoni shida kutumia lugha za hovyo hovyo
Mhandisi Mzalendo JF-Expert Member Joined Aug 23, 2010 Posts 6,682 Reaction score 11,461 May 22, 2024 #6 Matumizi yake mahususi ni nini?
Supu ya kokoto JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,194 Reaction score 7,602 May 22, 2024 #7 DIRIMULAINA said: Waswahili wengi ni hopeless, tangazo la biashara hawaoni shida kutumia lugha za hovyo hovyo Click to expand... Pita kimya kama umekereka. Wengine tunazielewa hizo lugha
DIRIMULAINA said: Waswahili wengi ni hopeless, tangazo la biashara hawaoni shida kutumia lugha za hovyo hovyo Click to expand... Pita kimya kama umekereka. Wengine tunazielewa hizo lugha
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 May 22, 2024 #8 Mhandisi Mzalendo said: Matumizi yake mahususi ni nini? Click to expand... Kunywea mbege.