D Dynamics Senior Member Joined Feb 2, 2024 Posts 159 Reaction score 194 Dec 17, 2024 #1 Habari wadau.. Viti vipo 10 Vinapatikana DAR Bei 40000 kila kimoja. KARIBUNI SANA!
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Dec 17, 2024 #2 @Simbafctanzania
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Dec 17, 2024 #3 Viko vizuri ushawahi peleka pale ukumbi wa Chuo kikuu huria? Juzi juzi tulikua na event pale kulikuwa na shida ya viti, unaweza wajaribu pia.
Viko vizuri ushawahi peleka pale ukumbi wa Chuo kikuu huria? Juzi juzi tulikua na event pale kulikuwa na shida ya viti, unaweza wajaribu pia.
The Icebreaker JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 22,278 Reaction score 65,817 Dec 17, 2024 #4 Niliposoma heading nikajua ni vile viti vilivyo vunjwa kwa Mkapa.
Kanye2016 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 2,904 Reaction score 3,006 Dec 18, 2024 #5 Kawauzie watu wa Simba vitawasaidia sana maana wanaongoza kwa kuvunja viti.