Viti vizuri kwa ajili ya garden vinauzwa

Viti vizuri kwa ajili ya garden vinauzwa

Dynamics

Senior Member
Joined
Feb 2, 2024
Posts
159
Reaction score
194
Habari wakuu

Kwa wanaopenda viti vizuri basi viti hivi vitakufaa Sana kwa ajili ya bustani yako au baraza yako.

Bei ya kuuzia ni Shilingi 120,000/-

Vipo Dar Es Salaam ila popote unaweza kutumiwa vikakufikia.

Karibuni
 
Unauza maneno bila picha ? Karne hii ya 21 !!!
 
...
IMG-20241119-WA0087.jpg
 
Back
Top Bottom