MulengaMulenga
Member
- Dec 29, 2021
- 54
- 89
Wakuu,
Majirani zetu nchini Rwanda tayari wametuonyesha kwamba inawezekana kubadilisha hali ya siasa inayowabagua wanawake. Wamefanikiwa kufikia asilimia 63.75 ya wabunge wanawake katika nchi yao. Sasa sisi tunakwama wapi?
Ukiangalia bungeni wanawake ni 37%, hii haitoshi, maana kama wanawake wenye uwezo tunao, sasa kwanini tuna huu uwiano mbaya kwenye siasa? Ikiongezwa mpaka 50% italeta hamasa ya kushiriki na kupata mchango wao katika maendeleo ya nchi ambao kwa kiasi kikubwa unakosekana
Hili linaonesha kwenye vyama vya siasa hakuna jitihada za makusudi katika kuinua wanawake. Kwenye idadi ya watu wanawake na wanaume hatupishani sana, sasa kwa nini kuwe na gape kubwa sana linapokuja suala la kisiasa?
Wazee wa wanawake hawana uwezo blaa blaaa najua hamtakosa, kama ni hivyo kwanini tuna Rais mwanamke ambaye si tu anamalizia uongozi wake, yaani kaaminiwa tena kumalizia muhula wake wa pili?