Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
FaizaFoxy hebu njoo hukuWalwa uko bar
Nenda ukawatie makonzi huko huko Msikitini alafu subiri delivery reportMana hw wa mtaani kwang wanajitia viziwi
Mkuu unaujua usingizi lakini? Ule usingizi wa saa kumi kwenda saa kumi na moja, tena ukute kuna manyunyu ya mvua!Swala ni Bora kuliko usingizi
Dini zimejaa vitisho vya ajabu sanaManeno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri.
Kwa mbali naskia "Swalah Swalah
Kitanda chako ndio kaburi lako
Usingizi wako ndio kifo chako" na maneno mengine ya kukutoa kitandani.
Oya hz Mambo Kama wangeweza kupigiana simu waambiane muda wa kuswali umefika ingependeza zaidi
Mana tunaosikia hivyo vitisho ni wengi hasa ss tunaolala nusu nusu
Najua Sehem ya wahusika mnasoma na isiishie hapo mkaambiane huko uongozini Mana hw wa mtaani kwang wanajitia viziwi
[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]Maneno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri.
Kwa mbali naskia "Swalah Swalah
Kitanda chako ndio kaburi lako
Usingizi wako ndio kifo chako" na maneno mengine ya kukutoa kitandani.
Oya hz Mambo Kama wangeweza kupigiana simu waambiane muda wa kuswali umefika ingependeza zaidi
Mana tunaosikia hivyo vitisho ni wengi hasa ss tunaolala nusu nusu
Najua Sehem ya wahusika mnasoma na isiishie hapo mkaambiane huko uongozini Mana hw wa mtaani kwang wanajitia viziwi
Kutoamka mapema ni alama ya uvivu. Amka toka, utaona tofauti yako na aliyelala. Hiyo ni nini wakup callManeno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri.
Kwa mbali naskia "Swalah Swalah
Kitanda chako ndio kaburi lako
Usingizi wako ndio kifo chako" na maneno mengine ya kukutoa kitandani.
Oya hz Mambo Kama wangeweza kupigiana simu waambiane muda wa kuswali umefika ingependeza zaidi
Mana tunaosikia hivyo vitisho ni wengi hasa ss tunaolala nusu nusu
Najua Sehem ya wahusika mnasoma na isiishie hapo mkaambiane huko uongozini Mana hw wa mtaani kwang wanajitia viziwi
Me nakwambia hivo kwakua kila asubuhi nadamka bi idhini llah tabarak wataalaMkuu unaujua usingizi lakini? Ule usingizi wa saa kumi kwenda saa kumi na moja, tena ukute kuna manyunyu ya mvua!
Fadhakir fainna maan antadhikra🤣🤣🤣unakumbushwa tu Ili usije ukawa na mwisho mbaya🙏
Kama unamuamini Yesu Kristo na unaishi maisha matakatifu, usiwe muoga.Maneno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri.
Kwa mbali naskia "Swalah Swalah
Kitanda chako ndio kaburi lako
Usingizi wako ndio kifo chako" na maneno mengine ya kukutoa kitandani.
Oya hz Mambo Kama wangeweza kupigiana simu waambiane muda wa kuswali umefika ingependeza zaidi
Mana tunaosikia hivyo vitisho ni wengi hasa ss tunaolala nusu nusu
Najua Sehem ya wahusika mnasoma na isiishie hapo mkaambiane huko uongozini Mana hw wa mtaani kwang wanajitia viziwi
Ila na nyinyi mngesogeza kidogo muda hiyo Azana yenu mpaka walau saa 12 hivi! Kiukweli huwa hamtutendei haki sisi ambao hatuhusiki na hizo swala zenu. Yaani ikifika saa 10+ alfajiri ni kelele mji mzima.Kutoamka mapema ni alama ya uvivu. Amka toka, utaona tofauti yako na aliyelala. Hiyo ni nini wakup call
Mwamba umemind. kweli wanatutisha sanaManeno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri.
Kwa mbali naskia "Swalah Swalah
Kitanda chako ndio kaburi lako
Usingizi wako ndio kifo chako" na maneno mengine ya kukutoa kitandani.
Oya hz Mambo Kama wangeweza kupigiana simu waambiane muda wa kuswali umefika ingependeza zaidi
Mana tunaosikia hivyo vitisho ni wengi hasa ss tunaolala nusu nusu
Najua Sehem ya wahusika mnasoma na isiishie hapo mkaambiane huko uongozini Mana hw wa mtaani kwang wanajitia viziwi
🙏Hivi vitu vilikuwepo toka enzi na enzi na watu walijufunza kuishi navyo.
Na hawadanganyi ibada ni bora kuliko usingizi.
Wengine wanaadhini kiistarabu ila wengine duuh Ila sishangai maana pia wana madhehebu yao Shia, Suni & Muhamediah plus Alshababu, sawa na huku kuna walokole na wajasiliadini makelele mfululizo pepo toka we pepo toka toka pepo wakati wengine wanabembeleza Sala 'Salamu Maria umejiaa Neema Bwana yu nawe.....'Hivi vitu vilikuwepo toka enzi na enzi na watu walijufunza kuishi navyo.
Na hawadanganyi ibada ni bora kuliko usingizi.
Kutoamka mapema ni alama ya uvivu. Amka toka, utaona tofauti yako na aliyelala. Hiyo ni nini wakup call