Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Kina hatarisha uhai?Umbilical hernia,,tundu huwa linafunga kadri anavyokua lakini kwa wengine linaweza lisifunge lenyewe hvyo kukua nayo
sasa hii ya kufunga shilingi mbona imekaa kiimani zaidi.Hiyo kitu inaitwa umbilical hernia,mara nyingi hua inafunga yenyewe na kitovu kurud kama kawaida ila kwa cases nyingine hua wanafanyiwa operations ila locally kama mtoto anayo huwa wanafunga shilingi na nguo kitovuni kukirudisha ndan...