Vitovu vikubwa kwa watoto

Mwanitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,036
Reaction score
594
Naomba ushauri.Mtoto akizaliwa na kitovu kikubwa kuna uwezekano wa kukirudisha kikawa cha kawaida?Je kama ni operation Yafaa afanyiwe akiwa na umri gani?
 
Sijaelewa swali lako vizuri, ila mimi mwanangu nilimzaa akiwa na kitovu cha kawaida ila alivyofikisha kuanzia mwez 1 hadi 3 kikawa kikubwa...nilichofanya nilichukua plasta na shilingi 200 nikawa nambandika kwenye kitovu na kila nnapomuogesha namtoa napapaka poda nambandika tena...ndani ya mwez kitovu kikanywea mpaka leo kimeingia ndani
 
Naomba ushauri.Mtoto akizaliwa na kitovu kikubwa kuna uwezekano wa kukirudisha kikawa cha kawaida?Je kama ni operation Yafaa afanyiwe akiwa na umri gani?
Ndio inawezekana kabisa kufanyiwa operesheni katika umri wowote.
 
mimi
Shukran Mkuu
bunafc nilikuwa na kitovu kikubwa nilipo fika darasa la kwanza nikaanza kukifunga yaani nikawa navalia sket kitovuni nakazaa mpka nafka form two kikawa kimeingia ndani
 
Inawezekana tena bila operation.

Tafuta Tsh. 20/= ifunge kwenye kitambaa kisafi, weka kwenye kitovu hakikisha kitovu umekibinya kimerudi ndani (hakiumi), then funga plasta, hakikisha maji hayagusi pale.

Unaweza kubadilisha plasta kila baada ya week or two weeks.

Baada ya mwezi au miezi miwili atakuwa yuko poa.
 
Nilisikia mjomba wake akimbeba mgongoni pia ni dawa yakukirudisha ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…