Vits CC 990 na Vitz RS CC 1290 zinatumia mafuta kiasi gani kwa kila 1? Lita 1 kwa KM ngapi?

Vits CC 990 na Vitz RS CC 1290 zinatumia mafuta kiasi gani kwa kila 1? Lita 1 kwa KM ngapi?

Bpk

Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
43
Reaction score
15
Mwenye uzoefu msaada nataka ninunue 1 kati ya hizi kwa round za mjini pia na kubana matumizi. Ipi itafaa kati ya hizi gari; Vits CC 990 na Vitz RS CC 1290 zinatumia mafuta kiasi gani kwa kila 1, lita 1 kwa KM ngapi?
 
Haiyo ya cc 1290 angalau hata safari ya mbali inamudu vizuri...
Mwenye uzoefu msaada nataka ninunue 1 kati ya izi kwa around za mjini pia nakubana matumizi ipi itafaa kati ya izi gari vitz

Vits cc 990 na vitz rs cc 1290 zina tumia mafuta kiasi gani kwa kila 1 , lita 1 kwa km ngapi
 
Nina Vitz ina 997 cc its very economical bro na ina himili mikiki sana (roho ngumu) kuliko ISt.. kama unataka more clarity zama PM afisa
 
Mwenye uzoefu msaada nataka ninunue 1 kati ya izi kwa around za mjini pia nakubana matumizi ipi itafaa kati ya izi gari vitz

Vits cc 990 na vitz rs cc 1290 zina tumia mafuta kiasi gani kwa kila 1 , lita 1 kwa km ngapi
Inaweza kua imekaa kiukakasi, but Honestly ujafikia hatua ya kununua Gari.

Pambana kwanza na Maisha Mengine.

Huwezi kua na judgement ya Cc990 na Cc 1290...hata kwa hesabu tu hapo tofauti ni 30Cc sasa hii ndio unasave nini.

Means:
Cc 990 itakua inaenda 1ltr to 15km,
If you divide 15km to 990Cc
Itakua 1Cc inaenda kwa 0.015Km

So ile diff yetu, 30Cc * 0.015
=0.45

Hata 1km haijafika.
 
Huyu anunue Mitsubishi Minica CC 650 ndio itamfaa ama laa aendelee kuunga mkono juhudi ndani ya daladala
Inaweza kua imekaa kiukakasi, but Honestly ujafikia hatua ya kununua Gari.

Pambana kwanza na Maisha Mengine.

Huwezi kua na judgement ya Cc990 na Cc 1290...hata kwa hesabu tu hapo tofauti ni 30Cc sasa hii ndio unasave nini.

Means:
Cc 990 itakua inaenda 1ltr to 15km,
If you divide 15km to 990Cc
Itakua 1Cc inaenda kwa 0.015Km

So ile diff yetu, 30Cc * 0.015
=0.45

Hata 1km haijafika.
 
Inaweza kua imekaa kiukakasi, but Honestly ujafikia hatua ya kununua Gari.

Pambana kwanza na Maisha Mengine.

Huwezi kua na judgement ya Cc990 na Cc 1290...hata kwa hesabu tu hapo tofauti ni 30Cc sasa hii ndio unasave nini.

Means:
Cc 990 itakua inaenda 1ltr to 15km,
If you divide 15km to 990Cc
Itakua 1Cc inaenda kwa 0.015Km

So ile diff yetu, 30Cc * 0.015
=0.45

Hata 1km haijafika.

Hiyo hesabu ya tofauti ya Cc umepigia mwezini au???
 
Duh mie nawaza kuhamia kwenye cc 2500 na kuendelea kutoka kwnye hii cc 2000 ya sasa... gari zenye cc kubwa pamoja na consuption kubwa ya mafuta lakn ukiwa unalipush unaskia kbsa kuwa kuna kitu unakiendesha...ni gari zinakuwa na nguvu sana ..Inshallah one day tafika huko kwnye cc mpka 4000
 
Inaweza kua imekaa kiukakasi, but Honestly ujafikia hatua ya kununua Gari.

Pambana kwanza na Maisha Mengine.

Huwezi kua na judgement ya Cc990 na Cc 1290...hata kwa hesabu tu hapo tofauti ni 30Cc sasa hii ndio unasave nini.

Means:
Cc 990 itakua inaenda 1ltr to 15km,
If you divide 15km to 990Cc
Itakua 1Cc inaenda kwa 0.015Km

So ile diff yetu, 30Cc * 0.015
=0.45

Hata 1km haijafika.
Hujui kama hujui
 
Gugo mkuu mbona rahis tuu,sjawai kua na ka bebi woka ila nahis kwa hesab za haraka haraka na uzoef nahis kwa 900-1300 hiz gar znatumia km zaid ya 17 or 18 kwa lita,..variables kama folen na kadhalika sja consider hapo
 
tumia busara kukosoa.

mwanao akifail utamtukana au utampoza na kumkosoa kwa maarifa?

1290-990= 30!!!

ngoja niangalie logarithimimic table
Inaweza kua imekaa kiukakasi, but Honestly ujafikia hatua ya kununua Gari.

Pambana kwanza na Maisha Mengine.

Huwezi kua na judgement ya Cc990 na Cc 1290...hata kwa hesabu tu hapo tofauti ni 30Cc sasa hii ndio unasave nini.

Means:
Cc 990 itakua inaenda 1ltr to 15km,
If you divide 15km to 990Cc
Itakua 1Cc inaenda kwa 0.015Km

So ile diff yetu, 30Cc * 0.015
=0.45

Hata 1km haijafika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom