Vits CC 990 na Vitz RS CC 1290 zinatumia mafuta kiasi gani kwa kila 1? Lita 1 kwa KM ngapi?

Kila gari ina umuhimu wake, wadau wengi wanaandikia sifa au kulingana na uwezo wao. mimi natumia gari yenye cc1 100 na yenye cc 2700. kila moja ina umuhimu wake muda flani. hiyo ya cc 2700 haina maana sana misele ya katikati ya jiji..ila nikienda nje ya jiji ndio umuhimu wake ninauona.
 
Hesabu za sayari gani hizi?
 
Nina Vitz ina 997 cc its very economical bro na ina himili mikiki sana (roho ngumu) kuliko ISt.. kama unataka more clarity zama PM afisa
Nilikuwa na kagar Kama hako ila mm Ni 990 cc Ni kagumu Sana nakakumbuka Sana katika bia hata ukikagonga hakana tabu unakanyoosha swafi sio haya mabox ukigonga likipasuka lazima ulishone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gugo mkuu mbona rahis tuu,sjawai kua na ka bebi woka ila nahis kwa hesab za haraka haraka na uzoef nahis kwa 900-1300 hiz gar znatumia km zaid ya 17 or 18 kwa lita,..variables kama folen na kadhalika sja consider hapo
Ni kweli kabisa Lita moja Ni 18km kwa hz luti za dar Moro tanga upati tabu ya mafuta yaaan

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Na ww hujafikia kufanyaje


Hakuna hesabu sa hvo jamaa umeandika utumbo ...na umeona kutoka 990 had 1290 kuna tofaut ya cc 30 😀 ...haya kwa hesabu yako hiyo nipigie hesabu za mafuta ya mazda rx8 1300cc
 


Tanzania ndo mnaendesha cc's 😀 kanunue bus kama unataka cc nyingi ...me naweza kuwa nina 2000cc ila ako na 350hp...


Na ww wakat wako wa kumiliki gari bado naona kuendesha yenye 2000 na kwenda 2500 ndo nn sasa umefanya ...mfano 2000cc 1G 6cyl afu uje uhamie 1jz fte 2500cc ....atleast ungesema unataka au unaacha gari yenye 160hp unahamia yenye 300hp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…