SoC01 Vitu 7 vya kufanya kabla hujamaliza chuo

Stories of Change - 2021 Competition

Kitumba_

Member
Joined
Aug 21, 2018
Posts
30
Reaction score
21
Niwasalimu vijana walioko vyuoni, kwa kuwaandikia vitu muhimu ambavyo ni matuamaini yangu kila mmoja wenu atahitaji kuvifanya kabla hajamaliza masomo.
.
Ni muhimu mimi kuyazungumza haya kwa sababu kubwa mbili, Moja, kwa sababu nataka idadi kubwa ya vijana wawe na uwezo wa kutokutegemea kuajiliwa, pili, nimeshuhudia idadi kubwa ya wanafunzi waliomaliza (tuliomaliza) masomo vyuoni wakihangaika kutafuta kazi na wengine mpaka wakijutia muda walioupoteza masomoni.
Kwa mlio vyuoni asaivi, zingatieni yafuatayo;

1. HAKIKISHA UNATUMA EMAIL KIPOFU.
Email kipofu ni zile email unazotuma kwa yeyote hujawahi kukutana nae. Unamjua waziri January Makamba lakini hujawahi kukutana nae, unamjua Zitto, unamjua Philip Mpango, kwenye mitandao haswa ya kijamii kuna emails zao hakikisha umetuma. Tuma kwa yeyote ambae labda unamuheshimu, unamkubali, ni role model, unadhani utapata ushauri kutoka kwake, mtu ambaye unataka kusikia historia ya mafanikio aliyonayo.
Niwaambie tu ukituma tu utajihisi ni special kuzidi wote darasani kwako. Na ukipata kujibiwa hata mojawapo utakuwa mwanzo mzuri wa safari ya mafanikio yako pia.

Nijitolee mfano, wakati niko mwaka wa tatu, nilimtumia email mchumi mkuu wa IMF Gita Gopinath. Hi jina langu ni Kitumba mwanafunzi kutoka chuo kikuu Ardhi Dar es salaam Tanzania, nikamwambia kiukweli sijui naenda kufanya nini baada ya kumaliza masomo yangu lakini ningependa kuanzisha taasisi ya kufanya research yenye ukubwa kimataifa kama IMF nikamuomba anipe basics za kiutendaji.
Ingawa ilimchukua mwaka mzima kujibu, lakini email yake inanipa muongozo na confidence kiasi mpaka leo.
Kama hujashitukia nafasi uliyonayo kama mwanachuo ni kubwa sana na pengine usiwe nayo ukiingia mtaani kwasababu watu wengi wenye nyadhifa wako radhi sana kuwasaidia wanafunzi walioko mashuleni.

2. KUWA NA MARAFIKI 5 WAZURI.
Angalau watano wazuri. Wazuri kwa maana ya kwamba wew binafsi unawaona wanaenda kusumbua huko mtaani kwa kujiamini kwao na utendaji. Wenye kuchukua chochote kwenye dunia hii, kwa kada zote siasa, muziki, shule, mpira, uandishi na kinginecho.
Hao watakusaidia kwa namna yeyote nawe utawasaidia huku ukikua. Achilia mbali maslahi, nimetengeneza poster za mgombea fulani, kumwandikia speech, shairi mchongo nikipewa na rafiki tuliyekua nae chuoni, amenijenga kiuandishi na kiuzoefu.

3. CHUKUA NA KOZI YA UJUZI WA VITENDO.
Unaweza kuwa unasomea programu yeyote ambayo binafsi umeichagua/ unaifurahia hiyo itakufanya ufaulu vizuri na kuinjoi muda wote utakaotumia chuoni lakini hakikisha unachukua kozi yeyote inayokupa ujuzi wa moja kwa moja mfano Computer science, mziki, uandishi, design, software, kichina n.k. Itakuongezea sifa za pekee huko mbele, niamini mimi.

4. ANZISHA CHOCHOTE.
Hata mkutano, club, umoja wowote, kikoba sijui, NGO, biashara. Hakikisha umeanzisha chochote ukiwa chuoni kwa sababu kubwa tatu. Mosi , Utaishi kiuhalisia zaidi. Vipi ukiwa unasoma halafu unayatenda hapo hapo yale unayoyasoma?. unajijengea mifano mingi ya moja kwa moja. Pili, Ujasili na uzoefu. Utajua ni ugumu upi katika kuanzisha project na kuiongoza.

Binafsi niliwahi kuanzisha biashara ya sabuni wakati niko chuo. Niligundua kumbe kipawa changu cha kutunza fedha ni kidogo mno make nilikua nauza kwa mkopo huku nikilipwa kidogo kidogo, wengine mpaka Boom litoke sasa kwenye kuutunza mtaji najikuta nautumia tu.

Tatu, utaujua ukweli ya kwamba maisha baada ya shule sio rahisi kihivyo kwenye chochote.
Baadae pitia hata mashindano yoyote ujilinganishe. Kuna hili la uandishi la Jamiiforum, kuna unitalents na kadha wa kadha..

5. KUWA NA ‘ZE PROFESA’.
Ni wazi wanachuo mna tarajia kufika mahali fulani. Ze profesa ni rafiki yako aliye kwenye nyadhifa ya juu unayoitarajia kufika. Kama ni koneksheni au refarii ndio muda wako kumuandaa.

Kuna lecture ambaye ndio mkuu kwenye department ya kozi unayoichukua, ingawa ni mnoko fulani lakini msumbue.
Hakikisha unamsumbua karibu kila siku ukimuulizia. Atakuambia mengi, mfanye rafiki, uhalisia utaupata wa mambo na utakua.

6. USIPITWE NA ADVENTURE
Class tour, sijui nini nini routine na marafiki zako zisikupite. Itakusaidia kupata ile confort zone yako. Utapata kujua jinsi ya kuishi na watu mbalimbali uwezo kifedha, masikini kama mimi, na hata kufika mahala usikotarajia.

7. JIPATIE UZOEFU WA KAZI.
Inauma kweli unamaliza chuo baada ya kuingia kazini unaingia kwenye internship huku ukilipwa nauli tu eti unatafuta uzoefu. Usiridhike na semister field kamwe. Tafuta uzoefu wa kile unachokisomea mara nyingi kadri uwezavyo.

Private Company zinapenda sana kuwaaproach wanafunzi waliofanya nao kazi wakati wakiwa wamemaliza masomo.

Yangu hayo saba, mengine unaweza kunikumbusha hapa chini..

Screenshot_20210923-145711.png
 
Upvote 18
Hongera sana Kitumba_ kwa ujumbe mzuri kwa wanachuo. Niko mbioni kuandika makala inayohusu wanafunzi walio hitimu iweze kuwasaidia baadhi ya mambo.

Umenigusa zaidi pale uliposema chukua kozi ya mafunzo kwa vitendo.

Kozi ndogo ndogo zinaweza sana kumtoa mtu kuliko kozi kubwa tena za miaka mingi. Na ujuzi mdogo mdogo kama wa ujenzi, ufundi bomba, useremala, uchoraji, uimbaji, muziki, kazi za sanaa za mikono. Kwa sasa pia kuna uhitaji mkubwa sana wa graphic designers, videographers, content writers na digitak marketing. Haya ni mambo ambayo vijana wanaweza kuyafanya yakawavusha sana.

nami niongeze moja kuwa kuhitimu masomo sio mwisho wa kujifunza. Waendelee kusoma vitabu mbali mbali ili kuongeza maarifa.

matatizo tuliyonayo sasa sio mapya. Unaweza kukuta kuna watu waliishandika suluhisho lake miaka 3,000 iliyopita.

kwa kutumia simu na computer wanaweza kupata maarifa mengi ya kuwasaidia.
 
Asante kwa nyongeza yako! Usisahau kunipigia kura pia
 
NNadhani
Niwasalimu vijana walioko vyuoni, kwa kuwaandikia vitu muhimu ambavyo ni matuamaini yangu kila mmoja wenu atahitaji kuvifanya kabla hajamaliza masomo.
.
Ni muhimu mimi kuyazungumza haya kwa sababu kubwa mbili, Moja, kwa sababu nataka idadi kubwa ya vijana wawe na uwezo wa kutokutegemea kuajiliwa, pili, nimeshuhudia idadi kubwa ya wanafunzi waliomaliza (tuliomaliza) masomo vyuoni wakihangaika kutafuta kazi na wengine mpaka wakijutia muda walioupoteza masomoni.
Kwa mlio vyuoni asaivi, zingatieni yafuatayo;

1. HAKIKISHA UNATUMA EMAIL KIPOFU.
Email kipofu ni zile email unazotuma kwa yeyote hujawahi kukutana nae. Unamjua waziri January Makamba lakini hujawahi kukutana nae, unamjua Zitto, unamjua Philip Mpango, kwenye mitandao haswa ya kijamii kuna emails zao hakikisha umetuma. Tuma kwa yeyote ambae labda unamuheshimu, unamkubali, ni role model, unadhani utapata ushauri kutoka kwake, mtu ambaye unataka kusikia historia ya mafanikio aliyonayo.
Niwaambie tu ukituma tu utajihisi ni special kuzidi wote darasani kwako. Na ukipata kujibiwa hata mojawapo utakuwa mwanzo mzuri wa safari ya mafanikio yako pia.

Nijitolee mfano, wakati niko mwaka wa tatu, nilimtumia email mchumi mkuu wa IMF Gita Gopinath. Hi jina langu ni Kitumba mwanafunzi kutoka chuo kikuu Ardhi Dar es salaam Tanzania, nikamwambia kiukweli sijui naenda kufanya nini baada ya kumaliza masomo yangu lakini ningependa kuanzisha taasisi ya kufanya research yenye ukubwa kimataifa kama IMF nikamuomba anipe basics za kiutendaji.
Ingawa ilimchukua mwaka mzima kujibu, lakini email yake inanipa muongozo na confidence kiasi mpaka leo.
Kama hujashitukia nafasi uliyonayo kama mwanachuo ni kubwa sana na pengine usiwe nayo ukiingia mtaani kwasababu watu wengi wenye nyadhifa wako radhi sana kuwasaidia wanafunzi walioko mashuleni.

2. KUWA NA MARAFIKI 5 WAZURI.
Angalau watano wazuri. Wazuri kwa maana ya kwamba wew binafsi unawaona wanaenda kusumbua huko mtaani kwa kujiamini kwao na utendaji. Wenye kuchukua chochote kwenye dunia hii, kwa kada zote siasa, muziki, shule, mpira, uandishi na kinginecho.
Hao watakusaidia kwa namna yeyote nawe utawasaidia huku ukikua. Achilia mbali maslahi, nimetengeneza poster za mgombea fulani, kumwandikia speech, shairi mchongo nikipewa na rafiki tuliyekua nae chuoni, amenijenga kiuandishi na kiuzoefu.

3. CHUKUA NA KOZI YA UJUZI WA VITENDO.
Unaweza kuwa unasomea programu yeyote ambayo binafsi umeichagua/ unaifurahia hiyo itakufanya ufaulu vizuri na kuinjoi muda wote utakaotumia chuoni lakini hakikisha unachukua kozi yeyote inayokupa ujuzi wa moja kwa moja mfano Computer science, mziki, uandishi, design, software, kichina n.k. Itakuongezea sifa za pekee huko mbele, niamini mimi.

4. ANZISHA CHOCHOTE.
Hata mkutano, club, umoja wowote, kikoba sijui, NGO, biashara. Hakikisha umeanzisha chochote ukiwa chuoni kwa sababu kubwa tatu. Mosi , Utaishi kiuhalisia zaidi. Vipi ukiwa unasoma halafu unayatenda hapo hapo yale unayoyasoma?. unajijengea mifano mingi ya moja kwa moja. Pili, Ujasili na uzoefu. Utajua ni ugumu upi katika kuanzisha project na kuiongoza.

Binafsi niliwahi kuanzisha biashara ya sabuni wakati niko chuo. Niligundua kumbe kipawa changu cha kutunza fedha ni kidogo mno make nilikua nauza kwa mkopo huku nikilipwa kidogo kidogo, wengine mpaka Boom litoke sasa kwenye kuutunza mtaji najikuta nautumia tu.

Tatu, utaujua ukweli ya kwamba maisha baada ya shule sio rahisi kihivyo kwenye chochote.
Baadae pitia hata mashindano yoyote ujilinganishe. Kuna hili la uandishi la Jamiiforum, kuna unitalents na kadha wa kadha..

5. KUWA NA ‘ZE PROFESA’.
Ni wazi wanachuo mna tarajia kufika mahali fulani. Ze profesa ni rafiki yako aliye kwenye nyadhifa ya juu unayoitarajia kufika. Kama ni koneksheni au refarii ndio muda wako kumuandaa.

Kuna lecture ambaye ndio mkuu kwenye department ya kozi unayoichukua, ingawa ni mnoko fulani lakini msumbue.
Hakikisha unamsumbua karibu kila siku ukimuulizia. Atakuambia mengi, mfanye rafiki, uhalisia utaupata wa mambo na utakua.

6. USIPITWE NA ADVENTURE
Class tour, sijui nini nini routine na marafiki zako zisikupite. Itakusaidia kupata ile confort zone yako. Utapata kujua jinsi ya kuishi na watu mbalimbali uwezo kifedha, masikini kama mimi, na hata kufika mahala usikotarajia.

7. JIPATIE UZOEFU WA KAZI.
Inauma kweli unamaliza chuo baada ya kuingia kazini unaingia kwenye internship huku ukilipwa nauli tu eti unatafuta uzoefu. Usiridhike na semister field kamwe. Tafuta uzoefu wa kile unachokisomea mara nyingi kadri uwezavyo.

Private Company zinapenda sana kuwaaproach wanafunzi waliofanya nao kazi wakati wakiwa wamemaliza masomo.

Yangu hayo saba, mengine unaweza kunikumbusha hapa chini..

Ki

Good work. Cha muhimu ni kuchangamkia fursa na kunya vitu ambavyo vinaonekana kuwa haviwezekani au Ni ujinga. Nimefurahishwa sana na mfano wako wa kuandika Email kipofu, nadahani vijana wote tunatakiwa kufanya vitu Kama hivi maana hiwezi jua kipi kitakutoa ki maisha.
Karibu Upige kura kwenye Nakala zangu pia.
 
Yan boss ulivyovisema ni ukwel mtupu ni vitu ambavyo nmevifanya na vimenisaidia sana ,hongera
 
Pre

Yangu hayo saba, mengine unaweza kunikumbusha hapa
Kiongozi nimtu muhim sana nikiwa moja yawanachuo naomba tuwasiliane namb angu0628789174
 
Mkuu nasikitika kwamba Leo hii ndio umeandika hii thread lkn laiti ungeandika miaka ya nyuma ingenisaidia sana nikiwa chuo. Ila nashukuru sana.
 
Unaweza vi-aaply kwa maisha ya kawaida kwa kuyabadilisha mazingira tu...
 
Back
Top Bottom