Vitu ambavyo haviwezekani

Vitu ambavyo haviwezekani

MILL8

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2015
Posts
1,837
Reaction score
879
Kuna vitu, ambavyo ni vigumu kutokea. Ronaldo kwenda kucheza barcelona, messi kuchezea madrid, neymar jnr kurudi barca, watu wanachukiana balaa. hebu fikilia kikawada tu jinsi ilivyo ngumu, neyma kuludi kwa waajili wake wa zamani. alivunja munganiko wa MSN, wakatalunia walimwita msaliti, sasa iweje arudi. ni mara mia akaenda madrid. nadhani ndo sehemu panapo mfaa, kutokana na kipaji chake matata.
 
ongeza vingine ambavyo ni ngumu kutokea
 
Wenger kuondoka arsenal [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
lingine hili hapa
25152020_1774304725936069_7768455822776207941_n.jpg
 
Ni kweli ni ngum sana na haiwezekani na haita wezekana,shetani kumuomba msamaha Mungu alie hai ili awe chini ya Mungu.maana alisha jiona ni Mungu wa dunia.
 
Mheshimiwa Boniface kumdunda Mh Lema ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa.
 
Back
Top Bottom