Vitu ambavyo wanaume hawapendi kutoka kwa wenza wao.

niliwahi kusema habari wengine wanataka zenye harufu ya fenesi hapa watu wakanibishia!mwnanadamu bwana!
 
kuna za fenesi kumbe?
mimi bado kukutana nazo
wewe ipi sasa?
pana chezeya mimi!ina mpka harufu ya mapera na ladha mpaka ya gilgilani mbichi!mambo si hubadilika kulingana na mood mkuu,usinichokoze leo sijakaa kikungwi kungwi!
 
nahisi nyie pia sometimes mnakuwa sitaki nataka, coz reaction ya husby wangu ilionionesha kuwa alikuwa anaenjoy hiyo hali ya mie kumuuliza na kumsumbua kuwa yuko wapi na anarudi saa ngapi......
Teh teh teh Sisi ndio wanaume bwana, Tunabadirika kutokana namazingira.
 
Mimi huwa ananikera nikiwa ofcn muda wa kazi ananipigia na kuanza kuniuliza kama nampenda, ananimisi, alafu mimi nianze kumliwaza. Huwa nakata cm bora achukie. Niko nafanya kazi serious inataka attention af mtu analeta mambo ya mapenzi kazini inakera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…