Vitu gani muhimu vya kuwa navyo kabla ya kuwaona POLICE usalama barabarani kwa ajili ya kupata sticker ya usalama na KIASI cha kulipia

Vitu gani muhimu vya kuwa navyo kabla ya kuwaona POLICE usalama barabarani kwa ajili ya kupata sticker ya usalama na KIASI cha kulipia

Dear_me_

Member
Joined
Dec 31, 2022
Posts
36
Reaction score
79
Habari za muda huu wana JF
NINGEPENDA KUJUA VITU GANI MUHIMU VYA KUA NAVYO KABLA YA KUOMBA STICKER YA USALAMA KWA AJILI YA GARIšŸ‘
 
Very simple unaenda na gari kituoni then wanakupa control no ya kulipia stika baada ya hapo umarudisha risiti then wanakupa stika.
 
Gari ndogo 5000 na kubwa 7000 tu ila unalipia kwa kutumia control no unapewa kituoni
 
Back
Top Bottom