Pesa, yako tu, kama ni bongo hii hii, every thing is for sale,Habari za muda huu wana JF
NINGEPENDA KUJUA VITU GANI MUHIMU VYA KUA NAVYO KABLA YA KUOMBA STICKER YA USALAMA KWA AJILI YA GARI👏
Wape afu tatu utembee.Habari za muda huu wana JF
NINGEPENDA KUJUA VITU GANI MUHIMU VYA KUA NAVYO KABLA YA KUOMBA STICKER YA USALAMA KWA AJILI YA GARI👏
No cash ni control no tuHawauzi mtaani tena? No cash?
Kama ni gari dogo la binafsi ni 5000 mkonononiHabari za muda huu wana JF
NINGEPENDA KUJUA VITU GANI MUHIMU VYA KUA NAVYO KABLA YA KUOMBA STICKER YA USALAMA KWA AJILI YA GARI👏
Kuongeza mapato ya serikali ili wazidi kufanya ufisadiLengo la hiyo sticker ni nini hasa...