Salaam wakuu! Naombeni msaada wenu ni vitu gani nahitaji kuzingatia katika mashine za kusaga na kukoboa unga(sembe + dona). wenye udhoefu naombeni mnijuze aina bora ya mashine, wapi naweza pata, changamoto zake, vitu muhimu vinavyoitajika kufanikisha huu mradi. Na masoko ya unga wa sembe yalivyo
Nakaribisha maoni yenu wana JF
Nakaribisha maoni yenu wana JF