Salaam wakuu! Naombeni msaada wenu ni vitu gani nahitaji kuzingatia katika mashine za kusaga na kukoboa unga(sembe + dona). wenye udhoefu naombeni mnijuze aina bora ya mashine, wapi naweza pata, changamoto zake, vitu muhimu vinavyoitajika kufanikisha huu mradi. Na masoko ya unga wa sembe yalivyo
Nakaribisha maoni yenu wana JF

MKUU LETE UZOEFU WAKO, TUPO AMBAO TUNATAKA KUINGIA KWENYE MRADI HUSIKA, UTATUFAA SANA KUTUPA ABCNimeifanya hii biashara na mpaka november 2017 niliposimama! Nitakupa ABC za hii biashara kesho nikipata nafasi! Uwe mvumilivu..
Mkuu biashara yeyote usitake kushindwa kuanzisha kisa mwingine either alifanikiwa au alishindwaMKUU LETE UZOEFU WAKO, TUPO AMBAO TUNATAKA KUINGIA KWENYE MRADI HUSIKA, UTATUFAA SANA KUTUPA ABC
SAWA MKUU NITAKUTAFUTAMkuu biashara yeyote usitake kushindwa kuanzisha kisa mwingine either alifanikiwa au alishindwa
Biashara yeyote inakuhitaji wewe mwenyewe utajitoa Kwa kiasi gani
Njoo nikushauri 0762612213 tutakuuzia Mashine na kukusaidia
Sido ipo kwa ajili ya watanzania ogopa woga au lolote likabili
SIDO wenyewe ndo huyu anatoa namba nimtafute anashindwa weka mambo nje anajinadi ni kwaajili ya watanzaniaNjooni mnipe ABC na Mimi nataka kuingia kwenye biashara hii,SIDO popote mlipo njooni,sitaki madalali wa SIDO.