Vitu gani ni vya muhimu kwa anayetaka kurudia mtihani wa kidato cha 4?

MWEUSI TINDIKALI

New Member
Joined
Apr 28, 2015
Posts
2
Reaction score
2
Aisee naomba wadau wa JF wanijuze utaratibu wa kurudia mtihani wa kidato cha 4 na vitu vinavyohitajika kwenye hili

Nilimaliza form 4 miaka 13 iliyopita ila now nataka nirudie mtihani kwa sababu za kikazi msaada ndugu zangu
 
Anza kwanza nenda shule ambayo inapokea watu wanaorudia kufanya mtihani hapo ndio kitakuwa kituo chako cha kufanyia mtihani siku ikifika.

Gharama ni elfu hamsini 50000/=. Hapo watakupa paper na control number halafu unapewa namba ya mtihani mpya hapo shule pia namba ya hiyo shule ishike halafu nenda posta

Then nenda kujisajiri sasa huko posta

Namba yako ya mtihani ya form 4 uwe nayo [ya zamani na mpya uliyopewa hapo shule]

Nenda posta kuna fomu maalumu za necta wakupe ujaze

Utajaza masomo unayotaka kuresit yapi na yapi na mangapi? Pia namba zote mbili za mtihani ya zamani na ya sasa hivi uliyopewa hapo shule

Dirisha lishafungwa sasa mpaka mwakani mwezi wa pili dirisha linafunguliwa tena ndipo utaenda kujisajiri...
 
Anza kwanza nenda shule ambayo inapokea watu wanaorudia kufanya mtihani hapo ndio kitakuwa kituo chako cha kufanyia mtihani siku ikifika
Gharama ni elfu hamsini 50000/=
Hapo watakupa paper na control number halafu unapewa namba ya mtihani mpya hapo shule pia namba ya hiyo shule ishike halafu nenda posta

Upo mkoa gani?
 
Aisee naomba wadau wa JF wanijuze utaratibu wa kurudia mtihani wa kidato cha 4 na vitu vinavyohitajika kwenye hili

Nilimaliza form 4 miaka 13 iliyopita ila now nataka nirudie mtihani kwa sababu za kikazi msaada ndugu zangu
Angalia pm yako mkuu nimekuwekea namba za simu
 
Anza kwanza nenda shule ambayo inapokea watu wanaorudia kufanya mtihani hapo ndio kitakuwa kituo chako cha kufanyia mtihani siku ikifika
Safi sana mkuu, nimependa umemjibu vizuri pasipo kumkejeli kama ambavyo members wengi wa JF walivyo hivi sasa
 
Aisee naomba wadau wa JF wanijuze utaratibu wa kurudia mtihani wa kidato cha 4 na vitu vinavyohitajika kwenye hili

Nilimaliza form 4 miaka 13 iliyopita ila now nataka nirudie mtihani kwa sababu za kikazi msaada ndugu zangu
Hii itamsaidia Sana Nape maana alipata div foo ya d d na f ya siasa na hesabu.
 
Aisee naomba wadau wa JF wanijuze utaratibu wa kurudia mtihani wa kidato cha 4 na vitu vinavyohitajika kwenye hili

Nilimaliza form 4 miaka 13 iliyopita ila now nataka nirudie mtihani kwa sababu za kikazi msaada ndugu zangu

Nadhani usajili utakuwa mwakani kuanzia mwezi wa 1 hivi.

Mambo ya kuzingatia
Tafuta Mwalimu ambaye anaelewa haya mambo atakupa muongozo wote.

Pia anza kusoma taratibu .

Kama UPO dsm tuwasiliane.
 
Anza kwanza nenda shule ambayo inapokea watu wanaorudia kufanya mtihani hapo ndio kitakuwa kituo chako cha kufanyia mtihani siku ikifika
Gharama ni elfu hamsini 50000/=
Hapo watakupa paper na control number halafu unapewa namba ya mtihani mpya hapo shule pia namba ya hiyo shule ishike halafu nenda posta

Then nenda kujisajiri sasa huko posta

Namba yako ya mtihani ya form 4 uwe nayo [ya zamani na mpya uliyopewa hapo shule]

Nenda posta kuna fomu maalumu za necta wakupe ujaze

Utajaza masomo unayotaka kuresit yapi na yapi na mangapi? Pia namba zote mbili za mtihani ya zamani na ya sasa hivi uliyopewa hapo shule

Dirisha lishafungwa sasa mpaka mwakani mwezi wa pili dirisha linafunguliwa tena ndipo utaenda kujisajiri...
Nashukuru sana kwa muongozo ndugu yangu
 
Back
Top Bottom