MWEUSI TINDIKALI
New Member
- Apr 28, 2015
- 2
- 2
Upo mkoa gani?Anza kwanza nenda shule ambayo inapokea watu wanaorudia kufanya mtihani hapo ndio kitakuwa kituo chako cha kufanyia mtihani siku ikifika
Gharama ni elfu hamsini 50000/=
Hapo watakupa paper na control number halafu unapewa namba ya mtihani mpya hapo shule pia namba ya hiyo shule ishike halafu nenda posta
Then nenda kujisajiri sasa huko posta
Namba yako ya mtihani ya form 4 uwe nayo [ya zamani na mpya uliyopewa hapo shule]
Nenda posta kuna fomu maalumu za necta wakupe ujaze
Utajaza masomo unayotaka kuresit yapi na yapi na mangapi? Pia namba zote mbili za mtihani ya zamani na ya sasa hivi uliyopewa hapo shule
Dirisha lishafungwa sasa mpaka mwakani mwezi wa pili dirisha linafunguliwa tena ndipo utaenda kujisajiri...
Nipo DodomaUpo mkoa gani?
Angalia pm yako mkuu nimekuwekea namba za simuAisee naomba wadau wa JF wanijuze utaratibu wa kurudia mtihani wa kidato cha 4 na vitu vinavyohitajika kwenye hili
Nilimaliza form 4 miaka 13 iliyopita ila now nataka nirudie mtihani kwa sababu za kikazi msaada ndugu zangu
Pambana mkuu ππππ₯Nipo Dodoma
Mimi sio mwanafunzi mkuuPambana mkuu ππππ₯
Poa kaka,,,, sorry nilijua niwewwMimi sio mwanafunzi mkuu
Safi sana mkuu, nimependa umemjibu vizuri pasipo kumkejeli kama ambavyo members wengi wa JF walivyo hivi sasaAnza kwanza nenda shule ambayo inapokea watu wanaorudia kufanya mtihani hapo ndio kitakuwa kituo chako cha kufanyia mtihani siku ikifika
ππππππππππAisee kumbe na wewe una D mbili?
Hii itamsaidia Sana Nape maana alipata div foo ya d d na f ya siasa na hesabu.Aisee naomba wadau wa JF wanijuze utaratibu wa kurudia mtihani wa kidato cha 4 na vitu vinavyohitajika kwenye hili
Nilimaliza form 4 miaka 13 iliyopita ila now nataka nirudie mtihani kwa sababu za kikazi msaada ndugu zangu
Aisee naomba wadau wa JF wanijuze utaratibu wa kurudia mtihani wa kidato cha 4 na vitu vinavyohitajika kwenye hili
Nilimaliza form 4 miaka 13 iliyopita ila now nataka nirudie mtihani kwa sababu za kikazi msaada ndugu zangu
Lazima tuwasaidie wenye shida mkuuSafi sana mkuu, nimependa umemjibu vizuri pasipo kumkejeli kama ambavyo members wengi wa JF walivyo hivi sasa
Nashukuru sana kwa muongozo ndugu yanguAnza kwanza nenda shule ambayo inapokea watu wanaorudia kufanya mtihani hapo ndio kitakuwa kituo chako cha kufanyia mtihani siku ikifika