Craig
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 1,512
- 2,712
Habari za Majukumu Wana JF kichwa cha habari kinahusika kama mnavyojua maisha yamejaa kuogofya kiasi kwamba hata uwe na mabaunsa lakini huwezi KUKOSA hofu moyoni.
Binafsi woga nilionao MAISHANI ni Uzee na Kifo maana najua hakuna aliwahi kwepa. Uzee unakuja bila hodi mdogo mdogo kadri umri unavyokwenda ukija kushtuka Bati limejaa KICHWANI, wakale walisema "Fainali uzeeni."
Hizo ni hofu zangu nimewaza kwa SAUTI. karibuni wadau tutoane hofu za kibinadamu.
Je wewe hofu Zako mbili ni zipi?