Kukosa nguvu za kiume tu
Kudinda na kutungisha mimba aisee! Kosa vyote ila sio hivyo viwili mkuu or else you will end up to be a useless man!Mkuu kukosa nguvu za kiume ni Mada mtambuka, Kuna anayedinda Ila Hana nguvu za kushiriki tendo (Mashoga wengi wapo hivi wakati wanaingiliwa wanakuwa wamedinda)
Halafu Kuna nyingine ambaye hata kudinda hawezi kabisa sijui wewe unaongelea yupi??
Na Kuna mwingine anadinda na nguvu za kushiriki anazo, huyu anaitwa FOUR WHEEL anashiriki mbele na nyuma na unaweza kuta ameoa na ana watoto.
Kudinda na nguvu za kushiriki ni vitu viwili tofauti. Tuanzie hapo.
Kudinda na kutungisha mimba aisee! Kosa vyote ila sio hivyo viwili mkuu or else you will end up to be a useless man!
Eeh nikiwazaga hili naonaga hii dunia imejaa ubatili sana! Hebu just imagine upewe upofu ghafla hapo utajiskiaje mzee! Yani ghafla giza machoni paap!Hapo nimekuelewa kut*m*a na kuzalisha Kuna ongeza thamani ya mwanaume. Ila Sasa maisha yalivyokuwa unfair Kuna mtu anazaliwa automatically Hana huo uwezo, Yaani anakuwa Hanithi hadindishi kabisa means that hata kuzalisha Hana uwezo lakini anatamani mtoto.
Cha ajabu Kuna ambaye kazaliwa Rijali Ila Hana mpango na wanawake Wala mtoto na kaamua kugawa kitobo kwa wanaume wenzake.
Ukienda Hospitali ukae masaa kadhaa ndio utaogopa zaidi uzee, kuna wazee hawajiwezi kabisa na kuna wengine wanaletwa Hospitali kwa nguvu huku wanaliaHabari za Majukumu Wana JF kichwa cha habari kinahusikakama mnavyojua maisha yamejaa kuogofya kiasi kwamba hata uwe na mabaunsa lakini huwezi KUKOSA hofu moyoni.
Binafsi woga nilionao MAISHANI ni Uzee na Kifo maana najua hakuna aliwahi kwepa. Uzee unakuja bila hodi mdogo mdogo kadri umri unavyokwenda ukija kushtuka Bati limejaa KICHWANI, wakale walisema "Fainali uzeeni."
Hizo ni hofu zangu nimewaza kwa SAUTI. karibuni wadau tutoane hofu za kibinadamu.
,Zako mbili ni zipi?
Vita ninayoiogopa ni ile ya kupigana(kupingana)na nafsi yangu.Habari za Majukumu Wana JF kichwa cha habari kinahusika kama mnavyojua maisha yamejaa kuogofya kiasi kwamba hata uwe na mabaunsa lakini huwezi KUKOSA hofu moyoni.
Binafsi woga nilionao MAISHANI ni Uzee na Kifo maana najua hakuna aliwahi kwepa. Uzee unakuja bila hodi mdogo mdogo kadri umri unavyokwenda ukija kushtuka Bati limejaa KICHWANI, wakale walisema "Fainali uzeeni."
Hizo ni hofu zangu nimewaza kwa SAUTI. karibuni wadau tutoane hofu za kibinadamu.
Je wewe hofu Zako mbili ni zipi?