Vitu gani vinakuboa au kuudhi JF kutoka kwa members?

candy embu punguzia huyu kijana
Speed weka 80 maana bdo.anataka
Kuja kuona wajukuuu

Alaf usianze kupepesa macho sasa
Afanye hivyo maana ana nifanya niwe na mawazo sana.. Nampenda sana
 
Kulaani nchi yetu na watanzania
 
Daaah basi tu ananizungusha sana kama yule
Haa haa sasa hapa hautakiwi
Utoke kapa kama kulee

Ngoja aje af akifungua tu
Mlango uingie na miguu yote
Hatachomoa
 
Haa haa sasa hapa hautakiwi
Utoke kapa kama kulee

Ngoja aje af akifungua tu
Mlango uingie na miguu yote
Hatachomoa
Yeah nitapiga kelele hadi yule asikie nimnange maana sio kila siku nawaona ww na mahonda mnakula bata
 
Yeah nitapiga kelele hadi yule asikie nimnange maana sio kila siku nawaona ww na mahonda mnakula bata
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sasa ukijua umeshapata
Kisu zaid yake
Haish kujipitisha pitisha kuomba
Hatw spear tyre

Cc mahondarw tunachanja tu
Mbuga
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sasa ukijua umeshapata
Kisu zaid yake
Haish kujipitisha pitisha kuomba
Hatw spear tyre

Cc mahondarw tunachanja tu
Mbuga
Mkuu hv unampenda kweli, huwez kumuita hvyo
 
Hv ID yake inasomeka hivyo humpendi
Mhhh spelling zmejichanganya
Hapo cjui zmekunywa wap viroba
Na vimeshafungwa

Hata mwenyewe anajua
Namlove kupita maelezo
 
Mhhh spelling zmejichanganya
Hapo cjui zmekunywa wap viroba
Na vimeshafungwa

Hata mwenyewe anajua
Namlove kupita maelezo
Keep loving her my bro.
Nawatakia couple njema wakat mm nikitafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…