Ni tatizo linalo gharimu maisha ya watu ni vipi mtu anaweza jikinga na tatizo hilo Je gharama za vipimo vya figo ni rafiki kwa mtu wa kawaida endapo mtu atahitaji kufanya kidney checkup, vyakula gani vyenye uwezo wa kukinga maradhi ya figo majibu kwa wenye ufahamu.
kwa hali ya sasa vyakula,vinywaji na mdawa mengi yana sumu nyingi ambazo uzidi hata kikokoto cha figo.
sumu zimekuwa nyingi ambazo ukichanganuliwa kitalaamu utapingwa kisiasa ndani ya biashara.