Kwa mwanamke sio Mbaya!!Wataka ulipwe shilling ngapi? Bora ujiajiri tuu
Sio jukumu mama kwake!Kwani Mwanamke hapendi hela π
Usiende kabisa hiyo interview kwa kuwa umekwisha feli. Hakuna kitu kinaitwa Costumer Service. Bali kuna customer serviceKama inavyojieleza hapo Juu Msaada please.
Kama huwezi kutambua title ya kazi unayoomba, ukikutana na interview panel ya watu serious wanakuchinjia nje immediatelySijafeli π π π